Muhtasari
Kliniki yetu ya meno inatoa huduma kamili za meno kwa watu wazima na watoto, kuanzia huduma za kawaida hadi urekebishaji wa meno.
Kliniki inaendeshwa na madaktari bingwa wa meno na upasuaji wa kinywa na taya wenye uzoefu. Wanashirikiana kwa karibu na wataalamu wengine wa hospitali, ikiwemo kuwachunguza meno kabla ya upasuaji wagonjwa ambao hali zao za kiafya huathiriwa na afya ya meno.
Tunachotoa
- Huduma ya kawaida ya meno
- Kuziba meno
- Kung’oa meno
- Matibabu ya mzizi wa jino (root canal)
- Urekebishaji wa meno
- Urembo wa meno
- Matibabu ya majeraha ya meno
- Uchunguzi wa meno kabla ya upasuaji
- X-ray ya menoInatolewa na kitengo chetu cha mionzi